Welcome to Nkuhungu Secondary School Nkuhungu Secondary School is a vibrant co-educational (mixed boys and girls) secondary school located in the heart of Dodoma, Tanzania. Registered under the National Examinations Council of Tanzania (NECTA) with school code S1139, we are a non-government institution dedicated to providing quality secondary education to students from diverse backgrounds.
Nkuhungu Secondary tunafundisha masomo ya sanaa, sayansi, biashara na michezo kwa Kidato cha 1,2,3
Nkuhungu Secondary tunatoa huduma ya elimu ya kidato cha nne kwa miaka 2
Nkuhungu Secondary inafundisha masomo ya lugha ya kichina pamoja na masomo ya ujasiliamali
Nkuhungu Secondary inatoa huduma ya kusajiri na kufanya mitihani kwa wanao rudia mitihani ya kidato cha nne
Walamu wetu wenye uzoefu wamejitolea kwa elimu bora na mafanikio ya wanafunzi.
Nkuhungu Secondary School is proud to offer a range of modern and well-maintained facilities designed to support academic excellence, personal growth, and holistic development for our students in Dodoma, Tanzania
Maktaba ni moyo wa elimu na maarifa katika shule yetu. Imejaa vitabu mbalimbali vya masomo, riwaya, majaridai, pamoja na vitabu vya ziada kwa ajili ya kujifunza binafsi..
Tuna maabara zenye vifaa muhimu vinavyosaidia wanafunzi kuelewa vizuri masomo ya Fizikia, Kemia na Baiolojia kupitia majaribio ya vitendo.
Tunajivunia huduma bora za chakula kwa wanafunzi wetu ili waweze kusoma kwa nguvu na afya njema.
Tuna vifaa vya msingi vinavyowasaidia wanafunzi kushiriki kikamilifu katika michezo, huku tukihimiza ushirikiano, nidhamu na afya njema.